Welcome to the official website of the Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS). Our mission is to coordinate and lead a multisectoral response to HIV and AIDS, ensuring that no individual, family, or c...
Read More
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Catherine Joachim akizungumza wakati wa kufungua kikao cha kujadili namna ya kuboresha uratibu wa UKIMWI wa kisekta kilichowashirikisha Wizara ya Afya na OR - TAMISEMI tarehe 27 Machi, 2025 jijini Dodoma
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS Dkt. Catherine Joachim akizungumza wakati wa kufungua kikao cha kujadili namna ya kuboresha uratibu wa UKIMWI wa kisekta kilichowashirikisha Wizara ya Afya na OR - TAMISEMI tarehe 27 Machi, 2025 jijini Dodoma
Kaimu Mkurugenzi wa TACAIDS. Dkt Catherine Joachim akizungumza wakati wa kuwasilisha mpango na bajeti ya TACAIDS kwa mwaka wa fedha 2025/2026 kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga akizungumza wakati TACAIDS inawasilisha mpango na bajeti kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya Afya na UKIMWI
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) Dkt. Catherine Joachim akizungumza wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo juu ya maadili na uwajibikaji viongozi na watendaji wa TACAIDS
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Ummy Nderiananga (Mb) wa tatu kutoka kushoto, akizindua mrati wa Timiza Malengo awamu ya tatu kwa mwaka 2024 hadi 2026
Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS) Dkt Catherine Joachim akizungumza wakati wa kongamano la vijana la kujadili masuala muhimu ya UKIMWI, Afya ya Uzazi na maadili lililohudguriwa na wanafunzi wa shule za Msingi na Sekondari zilizopo mkoani Njombe