Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dkt. Catherine Joachim akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa TACAIDS kwa kipindi cha kuanzia Julai hadi Disemba, 2024. Taarifa hiyo imewasilishwa kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya masuala ya Afya na UKIMWI tarehe 22 Januari, 2025 jijini Dodoma