Events
MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI 2021
Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani Kitaifa yatafanyika Mkoani Mbeya Katika Viwanja vya Ruanda-Nzovwe. Maonyesho yataanza tarehe 24/11/2021 mpaka tarehe 01/12/2021 ambayo ni siku ya kilele. Mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hasani.