News
MAONYESHO YA KIMATAIFA YA WAFANYA BIASHARA SABASABA
Tume yakudhibiti UKIMWI Imeshiriki Maonyesho ya Kimataifa ya Wafanya Biashara Sabasaba Mkoani Dar es salaam. Maonyesho yameanza tarehe 28 Juni mpaka terehe 13 Julai. Katika maonyesho haya Tume itatoa elimu ya VVU na UKIMWI kwa Wananchi, Majukumu ya Tume, Kutoa miongozo na mikakati mbali mbali ya kupambana na UKIMWI pamoja na kuhamasisha uchangiaji wa mfuko wa ATF.