Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani 2021


Maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniani kitaifa yamefanyika mkoani Mbeya tarehe 1 Desemba 2021. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muumgano wa Tanzania Mh. Kassimu Majaliwa. Maadhimisho yalianza tarehe 24/11/2021 kwa matembezi ya hisani ya kuchangia mfuko wa Udhamini wa kudhibiti UKIMWI ambapo mgeni rasmi aliku naibu Spika wa Bunge la Tanzania Dk. Tulia Akson na maonyesho ya shughuli mbali mbali za VVU na UKIMWI ziliendelea ikiwa nipamoja na kutolewa huduma za afya kama vile kupima VVU, saratani ya mlango wa kizazi, Tohara kwa Wanaume pamoja na chanjo ya COVID