Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


WANAWAKE TUME YA KUDHIBITI UKIMWI TANZANIA (TACAIDS) WASHIRIKI SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Leo tarehe 08 Machi, 2022 wanawake kutoka Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania wameungana na wanawake wengine duniani kusheherekea Siku ya Wanawake Duniani.

Kaulimbiu ya Siku ya Wanawake 2022 ni Kizazi cha Haki na Usawa kwa Maendeleo Endelevu