Tanzania emblem
The United Republic of Tanzania
The Prime Minister's Office

Tanzania Commission for AIDS

Tanzania Commission for AIDS

News

WAD 2023


Tanzania imeungana na Mataifa mengine Duniani Kuadhimisha siku ya UKIMWI Duniani ambapo Kitaifa imefanyika Mkoani Morogoro tarehe 1 Desemba 2023. Mgeni Rasmi alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kasim Maliwa